Kwa sasa CHADEMA inahitaji wanachama Hai wengi kuliko wakati mwingine wowote, Tushiriki kuimarisha chama

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
Kwanza nitoe pongezi kwa viongozi wote waliochaguliwa na kuteuliwa katika uchaguzi huu wa CDM 2025 .

Pili mwaka huu ni mwaka wa Uchaguzi mkuu , pesa zinahitajika sana na adhani hutuna uhakika kama zile hela zilizokuwa zinatolewa kipindi kilichopita kama zamani hivyo wanachama na watu wenye mapenzi mema na chama ndiyo itakuwa chanzo kikubwa cha Mapato .

Wanachama hai milioni 2 wanatosha kuendesha chama .

Binafsi jana baada ya uchaguzi kuisha nililipa ada ya mwaka

>>Hujambo, umefanikiwa kulipia ada ya mwaka Sh.2500 kwa malipo ya kumbukumbu namba RCTCDME1737532198151.Ahsante kwa kukijenga chama. PEOPLE'S POWER!

TUSHIRIKI KUIMARISHA CHAMA
 
Naamini hiyo ndio kazi kubwa ya Lema kuwepo kamati kuu pamona na makamanda wengine.

Wakati wa kampeni alieleza vizuri hii mipango na kwa uwezo wa Mungu najua litafanikiwa
 
Website ya Chadema kiukweli lazima iboreshwe. Naona hata kufunguka ni kazi. Lazima Reforms za hali ya juu zifanyike kila sehemu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…