Kwa sasa hivi Darasa ndio msanii bora wa Hip hop

Ahaaaa unazingu,kwahiyo bongo nzima hakuna hip hop anae imba mashairi ya kuelimisha na kukutia moyo.Huyo darasa wako kaibuka tyu juzi unampa promo hadi unajisaha kama kunawakali wa hip hop kama akina joh makini,mwanafa fdq.....,,,
 
Unasikiliza ngoma zake huyu jamaa au una diss tu
 
Acha kujitoa akili kijana.....
 
Mi nlisema hapa ile ngoma takeu,, wakaniita hater,. Semeni nyie.
Nyimbo ina ukali wake wa kibongo-bongo sio kudiss kama wewe unavyodiss like jamaa aache kabisa mziki ampishe fulani pekee,
Issue hapa nikuweka wazi kuwa ni makosa sana kusema eti hii ni hiphop bora.
 
Huo wimbo unaitwaje niutafute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…