Mademu Niliowala mpaka sasa wanatosha aisee kwa sasa ngoja nitafute pesa kwanza kama kuwala nitawala tena Baadae,
Kuna baadhi ya Viumbe huwa navitamani sanaa ila kwa sababu ya utofauti wa kiuchumi naishia kuwamezea mate japo kuna ambao wananasa kwa bahati bahati,
Kwa sasa nawekeza kwenye kufanya kazi kwa bidii, Nivune pesa nimiliki vitu vya maana mwisho kabisa ndio nianze kuwatafuna tena,
Note,
Nitakuwa nawaonja onja kidogo ila siyo sana kama zamani.
Cc Zero iQ