ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Mimi nafanya kazi ngumu ila kipato chake kwa siku ni Kama shilingi 4000 TU.kuna mahitaji yangu mwenyewe yamenishinda Leo hii unaniambia niwe na mwanamke nimhudumie saloon nimpe hela nitapatia wapi?hela ya guest yenyewe tu msala..kwa taarifa yenu kwa Sasa tumaini lililobaki Ni punyeto tu