MakinikiA JF-Expert Member Joined Jun 7, 2017 Posts 5,840 Reaction score 8,202 Mar 6, 2026 #1 Marekani yapungukiwa na mifumo ya ulinzi wa makombora mashariki ya kati - yataka msaada korea kusini Marekani yaruhusu urusi kuuza mafuta kwa nchi za magharibi baada ya hormuz kufungwa na iran--mwamba putin kagoma Putin: Niondoleeni vikwazo lasivyo uchumi wenu utaangamia
Marekani yapungukiwa na mifumo ya ulinzi wa makombora mashariki ya kati - yataka msaada korea kusini Marekani yaruhusu urusi kuuza mafuta kwa nchi za magharibi baada ya hormuz kufungwa na iran--mwamba putin kagoma Putin: Niondoleeni vikwazo lasivyo uchumi wenu utaangamia
S Salary Slip Platinum Member Joined Apr 3, 2012 Posts 52,828 Reaction score 165,667 Mar 6, 2026 #2 Mungu fundi sana.
K kendy JF-Expert Member Joined Apr 30, 2015 Posts 453 Reaction score 942 Mar 6, 2026 #3 Salary Slip said: Mungu fundi sana. Click to expand... Acha kabisa.
K kendy JF-Expert Member Joined Apr 30, 2015 Posts 453 Reaction score 942 Mar 6, 2026 #4 Marekani kaenda kuomba Msaada Kwa Ukraine. Trump alikua anamsimga Zelensk Kila siku.
K kendy JF-Expert Member Joined Apr 30, 2015 Posts 453 Reaction score 942 Mar 6, 2026 #5 Kwa ninavyomjua Putin ataitumia vizuri sana nafasi hii.
pandagichiza JF-Expert Member Joined Jul 9, 2013 Posts 6,524 Reaction score 4,928 Mar 8, 2026 #6 kendy said: Marekani kaenda kuomba Msaada Kwa Ukraine. Trump alikua anamsimga Zelensk Kila siku. Click to expand... Ukraine wamefanikiwa sana kutungua drone za Russia walizonunua kutoka Iran
kendy said: Marekani kaenda kuomba Msaada Kwa Ukraine. Trump alikua anamsimga Zelensk Kila siku. Click to expand... Ukraine wamefanikiwa sana kutungua drone za Russia walizonunua kutoka Iran