Kinumbo
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 3,039
- 5,560
Ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati klabu bora zaidi kwa sasa ni Yanga SC, ukubali ukatae ila huu ndio ukweli mchungu. Binafsi sijaona klabu inayo weza kupambana na Yanga uwanjani ikatoka na matokeo chanya.
Mimi sio shabiki wala mwanachama wa klabu ya Yanga SC wala katika maisha yangu mpaka sasa sijawahi kukumbwa na pepo la Usimba na Uyanga bali mimi ni mpenzi wa michezo. Nafuatilia michezo yote na katika hilo nimeona klabu ya Yanga SC kwa sasa iko vizuri sana uwanjani.
Ukitaka kuthibitisha hilo ifuatilie hiyo klabu.