Labda useme hupendi mpira ila kazi yako inakuhusisha na mpira mfano waziri wa michezo.Inawezekana ni maamuzi tu
Ndo nilichosema boss. Una objective nyingine nje ya mapenzi na soka ndo maana unafuatilia.Mkuu binafsi yangu nafuatilia tu michezo ila sina mapenzi ya timu fulani.
Wengi wanapenda kuangalia mpira mzuri japo kuna wale wasiopenda mafanikio ya yanga sc kwa makosa madogo wanatokwa na mishipa ya damu huenda mbali zaidi na kujizima dataLigi ilianza wiki mbili zilizopita na katika michezo yote iliyochezwa hakujakuwa na malalamiko dhidi ya marefa,tafadhali kuanzia mechi ya Yanga leo hali iwe shwari,maana mmezoea nyie
Ni kweli. Ulipofuka ungewezaje kuiona Tabora?Ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati klabu bora zaidi kwa sasa ni Yanga SC, ukubali ukatae ila huu ndio ukweli mchungu. Binafsi sijaona klabu inayo weza kupambana na Yanga uwanjani ikatoka na matokeo chanya.
Mimi sio shabiki wala mwanachama wa klabu ya Yanga SC wala katika maisha yangu mpaka sasa sijawahi kukumbwa na pepo la Usimba na Uyanga bali mimi ni mpenzi wa michezo. Nafuatilia michezo yote na katika hilo nimeona klabu ya Yanga SC kwa sasa iko vizuri sana uwanjani.
Ukitaka kuthibitisha hilo ifuatilie hiyo klabu.
Hivi zinakutosha kweli ? Tabora United inatoka America ya Kusini?Ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati klabu bora zaidi kwa sasa ni Yanga SC, ukubali ukatae ila huu ndio ukweli mchungu. Binafsi sijaona klabu inayo weza kupambana na Yanga uwanjani ikatoka na matokeo chanya.