Kwa sasa Sim a ndiyo timu bora afrika mashariki na kati Ubaya Ubwela kwa vitendo

Nitawakumbusha viongozi wa Simba kuboresha timu zaidi msimu Ujao
na kuwatoa baadhi ya wachezaji.
Maboresho angalau matano ya maana

i. Beki wa kati 5,
ii.kiungo wa ukabaji 6.
iii.Mshambuliaji 9.
Iv.kiungo mshambuliaji 10.

WAANZE KUWASAHAU WACHEZAJI WAFUATAO.
1. Karabue chamue.
2. Agustine Okejepha.
3. Joshua Mutale.
4.Steven Mukwala.
5. Aishi Manula.
 
Mashabiki wa Simba huwa wanafurahisha sana. Siku timu ikifungwa au kutoa tu hata sare, kelele za kumkataa Mangungu na Matola, zinaanza tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…