Kuna siku nilikuwa nawazua umuhimu wa hiko kidude, nikajiuliza aa haya ninacho nitakuwa napewa -labda kitu gani na wadau, alafu nikasema kwa sasa sina what I'm gaining more na hiko kidude?.
Sijapata majibu ya kuniridhisha, hebu sasa wale wenye hako kadude mnipe elimu ili kakiwa na manufaa nipambane kukapata!.