THE WEEKENDTwende kazi saizi unakula Ngoma gani kali hapo..!?
Mimi hiyo hapo [emoji116] [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1347831
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah dahh hii nyimbo nitatafuta sikuu niisikilzeWajinga Ninyi-King kaka
THE WEEKEND
Blinding light & reminder
Tunawakaaaaaaaa waka waka waka na madem wakali runachapa kuna hennesy kuna bapa, na chan'gaa ili mradi tunawaka
yess BiShoo haswaaAaa
Hii ngeni ngoja nayo tutaichekKaty Perry _ Chained to the rhythm
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]CCM mbele kwa mbele by Captain John Komba
Acha tuisome namba------------- CCM mbele kwa mbele ---------------[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah nyimbo za kujenga chamaCCM mbele kwa mbele by Captain John Komba
Acha tuisome namba------------- CCM mbele kwa mbele ---------------[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app