Hebu tulia kwanza, drink water kidogo then usubiri mziki wake! Tulia kwanzaMimi nawajua hawa jamaa vizuri wao wanayo namna ya kutafuta kiki za kisiasa kwa kutumia udhaifu na makosa ya CCM. CCM ikijisahau na kufanya makosa kwa kuruhusu ufisadi basi hapo ndipo hukomaa na kusimamisha misuri ya shingo.
Ccm isipotekeleza sera na ilani ya uchaguzi vizuri. Wao hushupaza shingo na kubwata. Hapa huwa wanapata kick za kisiasa kupata umaarufu.
Sasa wapo kimya kikuu maana hawana hoja mujarabu ya kuwainua kisiasa.
Ao wenyewe waliorudi ndo watahakikisha upinzani kupata nchi ama?MATAGA waanza kufufurushwa chama WENYEWE wamerudi...