Kwa SAUT Alumni: Jihadhari na Tapeli anayehujumu Jina la FR.THEODORE WALTERS katika Social Networks

Kwa SAUT Alumni: Jihadhari na Tapeli anayehujumu Jina la FR.THEODORE WALTERS katika Social Networks

Yahya Mohamed

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
270
Reaction score
317
Jihadhari naKijana huyu wa Kikenya anayetumia account ya FB ya Fr. Theodore Walters kuombamsaada wa nauli kumsafirisha mmoja wa wanafunzi wanaodaiwa kufadhiliwa gharamaza masomo na Fr.Walters huko Kampala University Uganda na kwenda Nairobi Kenyakwa ajili ya matibabu.

Ni mkasa wakufurahisha kidogo kutokana na mbinu anazozitumia kufanikisha hujuma hiyo.

Somamahojiano ambatanishwa hapo chini

Theodore Walters.jpg

Fr. Theodore Walters
 

Attachments

bwahahahaha nimesoma nimecheka sana......kakupa number yake ya Ohio?
 
Back
Top Bottom