Kwa serikali kununua/kumiliki/kuendesha airtanzania ni kupoteza mda???

C_O

Member
Joined
Jan 3, 2019
Posts
54
Reaction score
33
Nimeona watu wengi wakiongerea hiki kitu pia baadhi wakisema sio muimu kwa serikali kuendesha shirika ilo kibaya zaid ni kwamba inaonesha san ilo shirika lina endshwa kisiasa sio kibiashara though ni msaada kwa jamii sas ww mwana jamii una neno gan kweny ilo
 
Ukiangalia na kiuchumi pia case study kama za Canada na New Zealand mwanzo gvt ndo ilkuw ina own na kuoperat airline zao na xio airline tu ila baadh ya business pia ila kweny transformation zao waliziacha na kuwa private owned leo izoo nchii zina onekana ndo prosperous dunian n kuigwa na nchi nyingi sas sis tunajfunz nn kutoka kwao pia ni effect gan iliopo kwny uchumi kma kutakuwapo na airtanzania which owned by gvt 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…