Elon Maskini Member Joined Jan 10, 2023 Posts 88 Reaction score 180 Apr 14, 2023 #1 Huyu jamaa inaonekana alikuwa anafahamu kaoa kiumbe cha aina gani tangu awali kabisa.
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 18,611 Reaction score 27,615 Apr 14, 2023 #2 Ni vizuri kuoa kiumbe unachokifahamu tangu mwanzo ili kuepuka mtifuano mbeleni
Philipo D. Ruzige JF-Expert Member Joined Sep 25, 2015 Posts 9,428 Reaction score 27,096 Apr 14, 2023 #3 Elon Maskini said: Huyu jamaa inaonekana alikuwa anafahamu kaoa kiumbe cha aina gani tangu awali kabisa.View attachment 2587332 Click to expand... Sasa huyu mwamba ndio mfano wa kuigwa. Hii pasu pasu inatuumiza sana wanaume
Elon Maskini said: Huyu jamaa inaonekana alikuwa anafahamu kaoa kiumbe cha aina gani tangu awali kabisa.View attachment 2587332 Click to expand... Sasa huyu mwamba ndio mfano wa kuigwa. Hii pasu pasu inatuumiza sana wanaume
Nobunaga JF-Expert Member Joined Mar 22, 2019 Posts 1,205 Reaction score 5,121 Apr 14, 2023 #4 Safi sana..
Philipo D. Ruzige JF-Expert Member Joined Sep 25, 2015 Posts 9,428 Reaction score 27,096 Apr 14, 2023 #5 Binafsi maishani mwangu Pasu Pasu haitatokea. All in all napambana sana Kuhakikisha kesho wa watoto wangu ipo njema. Hivyo likitokea la kutokea still watoto wangu ndio wanufaika wa kwanza
Binafsi maishani mwangu Pasu Pasu haitatokea. All in all napambana sana Kuhakikisha kesho wa watoto wangu ipo njema. Hivyo likitokea la kutokea still watoto wangu ndio wanufaika wa kwanza
J James Gatz JF-Expert Member Joined Sep 21, 2022 Posts 301 Reaction score 319 Apr 14, 2023 #6 Philipo D. Ruzige said: Sasa huyu mwamba ndio mfano wa kuigwa. Hii pasu pasu inatuumiza sana wanaume Click to expand... Umefika wakati sasa sheria zetu ziwe na prenuptial agreement
Philipo D. Ruzige said: Sasa huyu mwamba ndio mfano wa kuigwa. Hii pasu pasu inatuumiza sana wanaume Click to expand... Umefika wakati sasa sheria zetu ziwe na prenuptial agreement
kizaizai JF-Expert Member Joined Mar 31, 2010 Posts 5,651 Reaction score 6,966 Apr 15, 2023 #7 Pongezi ziende kwa mama.