R-K-O
JF-Expert Member
- Jun 27, 2023
- 482
- 2,178
Kwa sheria za sasa timu zinazoingia CAF mabingwa haziwezi kudondokea CAF Shirikisho, Ukitoka umetoka!
Na kama ilivyozoeleka katika ligi kuu yetu nafasi ya kwanza na ya pili huwa ni Simba na Yanga, Hizo timu moja kwa moja zinaenda CAF mabingwa.
Huko CAF mabingwa tusijizime data, Hio ligi ina wenyewe, sana sana ikitokea bahati labda basi ni kufikia nusu fainali.