Kulingana na kichwa cha habar nilitegemea Azam atakua ndio kinara wa bandiko lakoKwa sheria za sasa timu zinazoingia CAF mabingwa haziwezi kudondokea CAF Shirikisho, Ukitoka umetoka!
Na kama ilivyozoeleka katika ligi kuu yetu nafasi ya kwanza na ya pili huwa ni Simba na Yanga, Hizo timu moja kwa moja zinaenda CAF mabingwa.
Huko CAF mabingwa tusijizime data, Hio ligi ina wenyewe, sana sana ikitokea bahati labda basi ni kufikia nusu fainali.
Mwakani Azzam wanacheza club bingwa na Yanga Simba atacheza shirikisho.Kwa sheria za sasa timu zinazoingia CAF mabingwa haziwezi kudondokea CAF Shirikisho, Ukitoka umetoka!
Na kama ilivyozoeleka katika ligi kuu yetu nafasi ya kwanza na ya pili huwa ni Simba na Yanga, Hizo timu moja kwa moja zinaenda CAF mabingwa.
Huko CAF mabingwa tusijizime data, Hio ligi ina wenyewe, sana sana ikitokea bahati labda basi ni kufikia nusu fainali.
Kweli Simba na Yanga zinafanya hadi logic ya mtu mwenye PhD inakuwa kama ya mtoto wa chekechea.Mwakani Azzam wanacheza club bingwa na Yanga Simba atacheza shirikisho.
Wanaojuwa mpira wanaelewa vizuri ukweli huu.