Darren2019
JF-Expert Member
- Nov 23, 2019
- 1,112
- 2,400
Pamoja na malalamiko ya mashabiki kwa wakati wote wa dirisha la usajili kuwa wazi, binafsi nlikuwa najipa moyo kwamba watafanya kitu.
La kushangaza kumbe ni kweli usajili umekamilika baada ya kushuhudia kufungwa kwa dirisha la usajili.
Nimeamini kweli hizi timu zetu pendwa zina uswahili na upigaji mwingi japo kwa msimu huu wenzetu Yanga wanaonekana kuwa nafuu.
Hivi kweli viongozi wa Simba ndo wamesimamia usajili huu wa magarasa huku wakihubiri kwenda kimataifa?
Muda utasema ila binafsi sioni Simba ikifanya vizuri msimu huu.