Kwa Simba hii tusitegemee mazuri msimu huu

Darren2019

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2019
Posts
1,112
Reaction score
2,400
Pamoja na malalamiko ya mashabiki kwa wakati wote wa dirisha la usajili kuwa wazi, binafsi nlikuwa najipa moyo kwamba watafanya kitu.

La kushangaza kumbe ni kweli usajili umekamilika baada ya kushuhudia kufungwa kwa dirisha la usajili.

Nimeamini kweli hizi timu zetu pendwa zina uswahili na upigaji mwingi japo kwa msimu huu wenzetu Yanga wanaonekana kuwa nafuu.

Hivi kweli viongozi wa Simba ndo wamesimamia usajili huu wa magarasa huku wakihubiri kwenda kimataifa?

Muda utasema ila binafsi sioni Simba ikifanya vizuri msimu huu.
 
Na nyie sasa nyuzi za hivi tumezichoka. Ndio dirisha limefungwa na wachezaji wetu ndo hao kinachofata ni mbele kwa mbele. Hao Waliosajili vzr mbona sioni maajabu yao? Cha msingi tuambatane na wachezaji wetu tuwashangilie na kuwatia moyo mbona humo kuna wachezaji wazuri tuu? Lawama na kulalamika wakati hauwezi kubadili lolote ni kujipotezea muda tuu.
 
Ujue hatukuandikii wewe, watatuelewa tunaowaandikia ili waboreshe yale tunayolalamikia hata kwenye dirisha dogo.

Vingnevyo hata wewe huwezi kutupangia cha kuandika maana huna hisa jf, tunaumia timu tunaichangia asee ebu tulia.
 
Ujue hatukuandikii wewe, watatuelewa tunaowaandikia ili waboreshe yale tunayolalamikia hata kwenye dirisha dogo.

Vingnevyo hata wewe huwezi kutupangia cha kuandika maana huna hisa jf, tunaumia timu tunaichangia asee ebu tulia.
Kuna thread za hivi kama kumi inamaana hawajasikia tuuu
 
Hawa wengine ni vibwengo wa Utopolo wanachafua hali ya hewa kwa vinyesi kwenye vyupi vyao

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Okwa xxxxxxx
DEJAN xxxxxxxx
BANDA XXXXXXX.
SAKO XXXXXXXXXX.
KIUNO MKABAJIXXXXXXX

MANZOKI.XXX
ADEBAYOR.XXXX
AZIZI KII.XXXX
BOBOSI.XXXXX
NGOMA. XXXX

SIMBA TUNAUMIA SANA
 
Huyo Dejan hata mmtie moyo, filigisi na figo bado mtakwama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…