Kwa Simba hii tutegemee aibu huko Caf Super League

mlambaji asali

Senior Member
Joined
Jan 30, 2023
Posts
150
Reaction score
505
Timu inayopigwa 3-0 nyumbani kwake, timu ambayo haina uwezo wa kubeba kombe lolote nchini mwake, timu isiyo na mfumo wa uchezaji kiwanjani zaidi ya kucheza mpira wa butua butua leo hii ishiriki ligi Moja na timu ambazo ni Mabingwa wa Afrika na pia ni mabingwa wa nchi zao, Je hamuoni taifa linaenda kufedheheshwa kwa aibu kubwa?

Yaani uwaweke Raja Casablanca, Mamelodi Sundowns na Simba kundi Moja unategemea nini hapo? Hawa kina Boco si wanaweza goma kurejea uwanjani kipindi cha pili?

Ushauri wangu hii timu ingejikita zaidi kwenye kombe la Azam Federation angalau inaweza kufika nusu fainal kuliko kwenda kubugizwa magoli na kuliaibisha taifa la Tanzania huko Superleague
 
umeandika bila ya kufikiri huna hoja kabla ya kuanza super cup washiriki wanapewa bilioni tatu za usajili hapo wataimarisha vikosi muwe mnauliza kabla ya kuandika sio kukurupuka na kuokoteza stori za vijiweni
 
Pole sana mtaumia nyie mpaka mfe mbwa wewe wa luc eymael
 
Reactions: BRN
Wakawapokee As Bamako
Na Vipers airport ndo kaz Yao
Sipat picha Una 5bil..uo usajil utakuwa Sio wa nchi hii mana tukiingia sokon
Ni atar mchezaj yeyot anakuja
 
Wakawapokee As Bamako
Na Vipers airport ndo kaz Yao
Sipat picha Una 5bil..uo usajil utakuwa Sio wa nchi hii mana tukiingia sokon
Ni atar mchezaj yeyot anakuja
Kwa bilioni 5 Simba wanaweza kuvunja hata udhamini wa Haier na kuleta mapinduzi ya Zanzibar pale Jangwani ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
 
Mkubwa hata akiwa ana mapengo ni mkubwa tu.Mambo aliyotenda udogoni yanahanikiza ukubwa wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ