Kwa Simbachawene: Hivi uwakilishi wenu unawatoka ktk kamati,au mchakato una patent fulani ?

Kwa Simbachawene: Hivi uwakilishi wenu unawatoka ktk kamati,au mchakato una patent fulani ?

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
25,260
Reaction score
7,204
Nimesikia vituko vya CCM ,majibu na sababu zao ila sijapata majibu ya maswali haya..na pia ktk sababu zao nimepata maswali haya.NApata shida

1.Ikiwa wale pale bungeni sasa hivi ni wawakilishi wa watu, na ikiwa sababua pekee iliyofanya wananchi wote wasiwe pale ni nafasi pengine kuliko uzalishani na shughuli nyingine za kijamii...basi ni wazi wananchi wanastahili kusikia hata km watashindwa changia kila kitu.Sijui unasemaje hili simbachawene?

2.Ikiwa katiba yenyewe ni ya wananchi , halafu mchakato mzima wananchi wakazuia kusikia nini na nini kwa wawakilishi wao,ambao uwakilishi wao hautoki ktk kamati halafu ukarudi ktk plenary ....hiyo katika itabaki tena kuwa yao au ya wajumbe wenye fikra za kikoloni za CCM.

3.Ni mipango gani ambayo itafananishwa na vita ,kiasi cha kufanya iwe hatari kwa taifa kihivyo kwa rasimu ambayo itapigiwa kura na kkubalika au kukataliwa?

4.Kwanini simbachawene unadhani hakuta haki ya kuwahukumu kwa mivutano ambayo tunajua mtakuwa vinara wa kuianzisha(haswa wana CCM?)

5.Hivi sisi wananchi tutajuaje kuwa mwandishi gani karuhusiwa na nani kanyimwa kwa sababu zipi zaidi ya itikadi na mrengo wao?

6.Hivi ktk hiyo mivutano mliyopania simbachaweze na CCM ,je akiumia mtu waliomtuma watajuaje hali halisi ilivyokuwa? 7.Ningependa sana kujua km kuna Patent ktk sehemu za mchakato wa vikao vya kamati ili watanzania wawalipe kwa kuitumia hiyo patent au kupata hiyo process.

Angalau ningepata hayo majibu ndipo ningejua hili wazo CCM km wamelifikiria vyema,na lilitoka wapi ktk vichwa vyao kmwana kili timamu..na kipi wanadhani wananchi hawakupaswa sikia wala kujua wakati wanawalipa na ndilo walilowatuma kufanya dodoma.

Sasa km kibarua anamwambia boss kuwa kuna process boss asione .
 
Bado sipati picture simbachawene anadhani kuwa uwakilishi wao ktk vikao vya kamati km ni patented session.Huyu jamaa hakui kuwa hivyo vikao pia ni sehemu ya mchakato wa wananchi
 
hivi ule mkono wake aliokatwa panga umepona kweli ?
haha..jamaa ukilinagalia lilivyo kubwa utafikiri lina akinli kumbe wapi....sijui km amepona...km ni wakutumia dawa...atavaa ngo kaunda suti ndefu kidogo
 
Back
Top Bottom