VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
Mabadiliko kwenye mfumo wa chaguzi zetu hayapuuziki wala hayazuiliki. Pamoja na jeuri ya kichama na kidola, mabadiliko ni muhimu kama chumvi na ndimu kwenye supu adimu. Muhimu kama elimu ya kumkomboa mwanadamu kutoka zamadamu.
No Reforms, No Election imepata uungwaji mkono na sinema za CCM. Ni Sinema zilizooneshwa Tanzania nzima kwenye mchakato wa ndani wa kichama kwenye nafasi za Ubunge na Udiwani. Watu wametekwa, wameumizwa, wameshambuliwa, na wameachwa midomo wazi.
Nguvu ya chama imepitisha washindi kuliko sound kwenye kundi. Wahesabu kura na waandishi wa matokeo wameamua nani awe mshindi. Ushahidi wa sinema hii ya kipekee unapatikana kule mwisho wa reli Kigoma Mjini. Mgombea akapaniki kuliko pikipiki na kupora karatasi iliyojaa wasiwasi.
Yote hayo yametokea nchini wakati wa kutamba na kuimba kwa CCM kwenye mchakato wake wa ndani. Na kutokana na kukosekana na upinzani wa maan mwaka huu, kila mgombea wa CCM aliyetangazwa au yule atakayepitishwa na KK ya CCM ana 'uhakika' wa Ubunge au Udiwani. Ndiyo maana nguvu kubwa imetumika.
Kama miti mibichi ndani ya CCM imefanyiana hivi, huwa inakuwaje kwa miti mikavu-wapinzani wakati wa uchaguzi hadi kutangazwa kwa mtokeo yanayoambatana na matukio na vilio vyenye milio kwenye masikio? Kama haya yote yametokea kwa chama chenye dola, inakuwaje kwa wasio na dola wala hela?
Hakika, taswira ya uchaguzi wetu ndani ya CCM inatosha kuunga mkono mabadiliko kwenye sheria, kanuni na taratibu za uchaguzi. Inatosha kuunga mkono uwepo wa uwazi, haki, amani na utulivu kabla, wakati na baada ya uchaguzi mkuu wetu unaojumuisha vyama vyote. Mshindi awe yule anayetakiwa na wapigakura.
Mabadiliko yamepata ushahidi!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Gauteng, Afrika ya Kusini)
Qmmae zao ccm. Walaaniwe wao na viwazi vyao.Mabadiliko kwenye mfumo wa chaguzi zetu hayapuuziki wala hayazuiliki. Pamoja na jeuri ya kichama na kidola, mabadiliko ni muhimu kama chumvi na ndimu kwenye supu adimu. Muhimu kama elimu ya kumkomboa mwanadamu kutoka zamadamu.
No Reforms, No Election imepata uungwaji mkono na sinema za CCM. Ni Sinema zilizooneshwa Tanzania nzima kwenye mchakato wa ndani wa kichama kwenye nafasi za Ubunge na Udiwani. Watu wametekwa, wameumizwa, wameshambuliwa, na wameachwa midomo wazi.
Nguvu ya chama imepitisha washindi kuliko sound kwenye kundi. Wahesabu kura na waandishi wa matokeo wameamua nani awe mshindi. Ushahidi wa sinema hii ya kipekee unapatikana kule mwisho wa reli Kigoma Mjini. Mgombea akapaniki kuliko pikipiki na kupora karatasi iliyojaa wasiwasi.
Yote hayo yametokea nchini wakati wa kutamba na kuimba kwa CCM kwenye mchakato wake wa ndani. Na kutokana na kukosekana na upinzani wa maan mwaka huu, kila mgombea wa CCM aliyetangazwa au yule atakayepitishwa na KK ya CCM ana 'uhakika' wa Ubunge au Udiwani. Ndiyo maana nguvu kubwa imetumika.
Kama miti mibichi ndani ya CCM imefanyiana hivi, huwa inakuwaje kwa miti mikavu-wapinzani wakati wa uchaguzi hadi kutangazwa kwa mtokeo yanayoambatana na matukio na vilio vyenye milio kwenye masikio? Kama haya yote yametokea kwa chama chenye dola, inakuwaje kwa wasio na dola wala hela?
Hakika, taswira ya uchaguzi wetu ndani ya CCM inatosha kuunga mkono mabadiliko kwenye sheria, kanuni na taratibu za uchaguzi. Inatosha kuunga mkono uwepo wa uwazi, haki, amani na utulivu kabla, wakati na baada ya uchaguzi mkuu wetu unaojumuisha vyama vyote. Mshindi awe yule anayetakiwa na wapigakura.
Mabadiliko yamepata ushahidi!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Gauteng, Afrika ya Kusini)
Mzee wetu upo?Mabadiliko kwenye mfumo wa chaguzi zetu hayapuuziki wala hayazuiliki. Pamoja na jeuri ya kichama na kidola, mabadiliko ni muhimu kama chumvi na ndimu kwenye supu adimu. Muhimu kama elimu ya kumkomboa mwanadamu kutoka zamadamu.
No Reforms, No Election imepata uungwaji mkono na sinema za CCM. Ni Sinema zilizooneshwa Tanzania nzima kwenye mchakato wa ndani wa kichama kwenye nafasi za Ubunge na Udiwani. Watu wametekwa, wameumizwa, wameshambuliwa, na wameachwa midomo wazi.
Nguvu ya chama imepitisha washindi kuliko sound kwenye kundi. Wahesabu kura na waandishi wa matokeo wameamua nani awe mshindi. Ushahidi wa sinema hii ya kipekee unapatikana kule mwisho wa reli Kigoma Mjini. Mgombea akapaniki kuliko pikipiki na kupora karatasi iliyojaa wasiwasi.
Yote hayo yametokea nchini wakati wa kutamba na kuimba kwa CCM kwenye mchakato wake wa ndani. Na kutokana na kukosekana na upinzani wa maan mwaka huu, kila mgombea wa CCM aliyetangazwa au yule atakayepitishwa na KK ya CCM ana 'uhakika' wa Ubunge au Udiwani. Ndiyo maana nguvu kubwa imetumika.
Kama miti mibichi ndani ya CCM imefanyiana hivi, huwa inakuwaje kwa miti mikavu-wapinzani wakati wa uchaguzi hadi kutangazwa kwa mtokeo yanayoambatana na matukio na vilio vyenye milio kwenye masikio? Kama haya yote yametokea kwa chama chenye dola, inakuwaje kwa wasio na dola wala hela?
Hakika, taswira ya uchaguzi wetu ndani ya CCM inatosha kuunga mkono mabadiliko kwenye sheria, kanuni na taratibu za uchaguzi. Inatosha kuunga mkono uwepo wa uwazi, haki, amani na utulivu kabla, wakati na baada ya uchaguzi mkuu wetu unaojumuisha vyama vyote. Mshindi awe yule anayetakiwa na wapigakura.
Mabadiliko yamepata ushahidi!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Gauteng, Afrika ya Kusini)
Mwaka huu pia haiwezekani. Kumnyang,anya mhuni penye rupia panahitaji jitihada kubwa Sana.Hii nchi nawaambia tukishindwa kuitudisha kwenye misingi mwaka huu hatutakaa tuirudishe Tena mafisadi wataiteka mazima
Utalogwa wewe!Mabadiliko kwenye mfumo wa chaguzi zetu hayapuuziki wala hayazuiliki. Pamoja na jeuri ya kichama na kidola, mabadiliko ni muhimu kama chumvi na ndimu kwenye supu adimu. Muhimu kama elimu ya kumkomboa mwanadamu kutoka zamadamu.
No Reforms, No Election imepata uungwaji mkono na sinema za CCM. Ni Sinema zilizooneshwa Tanzania nzima kwenye mchakato wa ndani wa kichama kwenye nafasi za Ubunge na Udiwani. Watu wametekwa, wameumizwa, wameshambuliwa, na wameachwa midomo wazi.
Nguvu ya chama imepitisha washindi kuliko sound kwenye kundi. Wahesabu kura na waandishi wa matokeo wameamua nani awe mshindi. Ushahidi wa sinema hii ya kipekee unapatikana kule mwisho wa reli Kigoma Mjini. Mgombea akapaniki kuliko pikipiki na kupora karatasi iliyojaa wasiwasi.
Yote hayo yametokea nchini wakati wa kutamba na kuimba kwa CCM kwenye mchakato wake wa ndani. Na kutokana na kukosekana na upinzani wa maan mwaka huu, kila mgombea wa CCM aliyetangazwa au yule atakayepitishwa na KK ya CCM ana 'uhakika' wa Ubunge au Udiwani. Ndiyo maana nguvu kubwa imetumika.
Kama miti mibichi ndani ya CCM imefanyiana hivi, huwa inakuwaje kwa miti mikavu-wapinzani wakati wa uchaguzi hadi kutangazwa kwa mtokeo yanayoambatana na matukio na vilio vyenye milio kwenye masikio? Kama haya yote yametokea kwa chama chenye dola, inakuwaje kwa wasio na dola wala hela?
Hakika, taswira ya uchaguzi wetu ndani ya CCM inatosha kuunga mkono mabadiliko kwenye sheria, kanuni na taratibu za uchaguzi. Inatosha kuunga mkono uwepo wa uwazi, haki, amani na utulivu kabla, wakati na baada ya uchaguzi mkuu wetu unaojumuisha vyama vyote. Mshindi awe yule anayetakiwa na wapigakura.
Mabadiliko yamepata ushahidi!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Gauteng, Afrika ya Kusini)
Kwa aina ya uandishi wako inaonyesha dhahiri wewe sio mwanachama wa CCM. Unajisumbua tu kwa sababu CCM ni kuuuuubwa kuliko uwezo wako wa kufikiri. Tuache tutambeMabadiliko kwenye mfumo wa chaguzi zetu hayapuuziki wala hayazuiliki. Pamoja na jeuri ya kichama na kidola, mabadiliko ni muhimu kama chumvi na ndimu kwenye supu adimu. Muhimu kama elimu ya kumkomboa mwanadamu kutoka zamadamu.
No Reforms, No Election imepata uungwaji mkono na sinema za CCM. Ni Sinema zilizooneshwa Tanzania nzima kwenye mchakato wa ndani wa kichama kwenye nafasi za Ubunge na Udiwani. Watu wametekwa, wameumizwa, wameshambuliwa, na wameachwa midomo wazi.
Nguvu ya chama imepitisha washindi kuliko sound kwenye kundi. Wahesabu kura na waandishi wa matokeo wameamua nani awe mshindi. Ushahidi wa sinema hii ya kipekee unapatikana kule mwisho wa reli Kigoma Mjini. Mgombea akapaniki kuliko pikipiki na kupora karatasi iliyojaa wasiwasi.
Yote hayo yametokea nchini wakati wa kutamba na kuimba kwa CCM kwenye mchakato wake wa ndani. Na kutokana na kukosekana na upinzani wa maan mwaka huu, kila mgombea wa CCM aliyetangazwa au yule atakayepitishwa na KK ya CCM ana 'uhakika' wa Ubunge au Udiwani. Ndiyo maana nguvu kubwa imetumika.
Kama miti mibichi ndani ya CCM imefanyiana hivi, huwa inakuwaje kwa miti mikavu-wapinzani wakati wa uchaguzi hadi kutangazwa kwa mtokeo yanayoambatana na matukio na vilio vyenye milio kwenye masikio? Kama haya yote yametokea kwa chama chenye dola, inakuwaje kwa wasio na dola wala hela?
Hakika, taswira ya uchaguzi wetu ndani ya CCM inatosha kuunga mkono mabadiliko kwenye sheria, kanuni na taratibu za uchaguzi. Inatosha kuunga mkono uwepo wa uwazi, haki, amani na utulivu kabla, wakati na baada ya uchaguzi mkuu wetu unaojumuisha vyama vyote. Mshindi awe yule anayetakiwa na wapigakura.
Mabadiliko yamepata ushahidi!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Gauteng, Afrika ya Kusini)
Kila la heri. Waambie SA wasiyumbe na mikwara ya TrumpMzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Gauteng, Afrika ya Kusini)
....! Mabadiliko yapi? Swali la msingiLakini ni wakati Sasa wa kujikita kwenye kuonesha ni mabadiliko gani tunataka na kupambana kuelimishana ili tuweze kuyapigania.