THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Habari!
Kwa mfumo wa soka la Bongo hapa hakuna mabishano na ukibisha labda tu uamue ila ki uhalisia Kwa soka la Bongo linavyoendeshwa Kwa Hisia Kali za Mashabiki Tena kuangalia upande mwingine wanawasema vipi.
Tegemeeni Fadlu kufurushwa endapo atapata matokeo Mabovu vs Yanga na akatolewa na Al Masry.
Msiwaamini eti wanajenga Timu.
Hayo wanayasema tu Kwa kua wapo wanaona Wana dalili za kubeba bunigwa ila wakifungwa wakapoteza ndoto hizo na wakatolewa na Al Masry, Fadlu habaki.
Nje na hapo Fadlu ashinde hizo games hasahasa hii game ya weekend.