Kwa soka la kibongo, Yanga wataonekana wameshindikana, tusubiri nje tuone

Tunza mada hiii kwa faida yako. Utaelewa somo na kufauru. Muda ni hakimu
 
Kwani wale vipers mlicheza nao mbeya au mkwakwani ninachojua yanga mara ya mwisho kushinda mechi ya kimataifa ilikuwa 2015 kama unabisha lete takwimu hapo utopolo pro max watu wanawaza super league nyie bado mnapiga kelele NBC premier league na kuifunga simba.
 
Kabisa mkuu ika ukiwaambia ukweli wakali hao...

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Kila mkipata kipigo mnalalamika kua yanga inawaza kuifunga tu simba kimataifa haina lolote. Nyie huko mna kombe gani? Na pia kwa nn mnaingiza timu uwanjani kama mnajua mtafungwa na yanga? 😁
 
Kila mkipata kipigo mnalalamika kua yanga inawaza kuifunga tu simba kimataifa haina lolote. Nyie huko mna kombe gani? Na pia kwa nn mnaingiza timu uwanjani kama mnajua mtafungwa na yanga? [emoji16]
Yanga mkija kushtuka simba imeshawaacha mbali super league Africa mashariki itawakilishwa na simba pekee endeleeni kucheza na transit camp na friends rangers mje mpigwe taifa hapo muanze kumlaumu karia.
 
Yanga mkija kushtuka simba imeshawaacha mbali super league Africa mashariki itawakilishwa na simba pekee endeleeni kucheza na transit camp na friends rangers mje mpigwe taifa hapo muanze kumlaumu karia.
Mlianza kusema ngao sio kombe, kumbe mnalitaka, mkaja tena ligi ni kombe la mbuzi kumbe mnalitaka, na sasa mmehamisha magoli yanga anawaza tu mechi za ndani, sasa mnaongiza ligi kelele zimekua kila kona. Mnaongoza kwa tofauti ya gap la point 6. 😁
 
Sema huko cuf watawaadhibu sana🤣🤣🤣
Tanzania ni maskini kwa sisi raia kuwa wavivu wa kufikiri na kukariri, Yanga iliyotolewa first round mwaka jana si Yanga hii ya kina Azizi K!
Hakuna atakaeadhibiwa bali sisi ndo tunaadhibu tu hapa nyumbani tumemaliza kucharaza viboko tunahamia CAF na tumkumbushe Kaze mpira wa kukaba sana umepungua Yanga nimeona tukifungwa kirahisi msimu huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…