Kwa spea gari za Honda, ahsante Mr Japanese Dar!!

Kwa wale wote mnaogopa Gari za Honda tukutane hapa niwatoe hofu kuhusu Spea!!
Mwaka juzi nilinunua Civic Ferio ila kila MTU alinishangaa na kuona nmeingia Choo cha kike,nlijipa MOYO na niliwah kutafuta SPEA nikasumbuka mno ila kwa sasa nilikutana na Jamaa pale KARIAKOO wana UHAKIKA WA KILA SPEA YA HONDA!!
NMEWAPENDA BURE NA ukitaka mawasiliano nichek
 
Umefanya vema sana, lakini angalau ungedadavua hata locationa yao walipo weka wazi haya mambo si mpka PM ndugu.
 
Yes,, jamaa namuamini saana na kama hana hua ana MTU Japan, unachofanya unamtumia picha au namba ya Spea fasta tu,,
 
Tupe Mawasiliano yao mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…