Kwa spidi hii, kuna uwezekano wa Ray Vanny kufukuzwa WCB!

Dangote the advocate

Senior Member
Joined
Sep 21, 2014
Posts
136
Reaction score
154
Wadau kama kichwa kinavyoonesha hapo juu kutokana na kipaji cha huyu bwana Mdogo mbeleni kuna uwezekano Wa kuwafunika WCB wote ikiwemo Boss wao diamond. Hivyo anaweza kuondolewa chamani ili kulinda heshima ya boss
 
time will tel
 
Amekutuma umpe promo humu! Lipia tangazo.
 
Hivi ameimba wimbo gn vile
RAYVANNY - KWETU & Natafuta kiki
upload_2016-10-4_16-2-28.png

Back
Top Bottom