Kwa spidi hii, kuna uwezekano wa Ray Vanny kufukuzwa WCB!

Dangote the advocate

Senior Member
Joined
Sep 21, 2014
Posts
136
Reaction score
154
Wadau kama kichwa kinavyoonesha hapo juu kutokana na kipaji cha huyu bwana Mdogo mbeleni kuna uwezekano Wa kuwafunika WCB wote ikiwemo Boss wao diamond. Hivyo anaweza kuondolewa chamani ili kulinda heshima ya boss
 
time will tel
 
Akitoka wasafi ataenda kwa Kiba. Hv Kiba ana kwake [emoji85]
 
Wadau kama kichwa kinavyoonesha hapo juu kutokana na kipaji cha huyu bwana Mdogo mbeleni kuna uwezekano Wa kuwafunika WCB wote ikiwemo Boss wao diamond. Hivyo anaweza kuondolewa chamani ili kulinda heshima ya boss
Amekutuma umpe promo humu! Lipia tangazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…