Anadhani WCB ni talent search house akasahau kwamba ni ya mfanyabishara ya muziki!heshima ya boss ni pesa,
kama dogo ana kipaji ni wazi boss wake ataingiza pesa nyingi zaidi.
mbona unaongea kinyumenyume.. kwani ulitaka achukue mapoyoyo kama KI BAWadau kama kichwa kinavyoonesha hapo juu kutokana na kipaji cha huyu bwana Mdogo mbeleni kuna uwezekano Wa kuwafunika WCB wote ikiwemo Boss wao diamond. Hivyo anaweza kuondolewa chamani ili kulinda heshima ya boss