Kwa Spika Job Ndugai: Busara na hekima inataka mambo mengine mzungumze na wabunge wenzako mkiwa ktk "off the media cameras"

Mnakuwa vigeugeu sasa.
Si mlitaka TV na redio zote ku cover bunge live?
Sasa utopolo tunauona live mnataka ufunikwe tena!!
 
Hapa Ndugai alikuwa sahihi kabisa, sijui kitu gani kimempata sasa hivi anaongea tofauti.
 
Huenda ni marehemu ila sio wa kujitakia.
Ndugai akituona kwenye boda huwa nadhani hawa watu wanaelekea kaburini. Kisa yeye anapanda viete la kodi zetu, anatuona sisi tunaopanda boda ni marehemu wakujitakia.
 
"NDUGAI AMVAA LEMA" [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Watu wanamlaumu Godbless Lema alivyoishikia Bango kazi ya ubodaboda, kumbe hata wao wenyewe CCM wanaiona hiyo ni kazi hatari kwa usalama wa raia waitwao "wabunge" na mali zao🥱🥱🥱🥱..??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…