Kwa stail hii kuna mapenzi hapa?

Ushauri wenu 2taufanyia kazi 2nayaheshimu sana.lakini kama kweli mapenz yamekwisha kwanini asiwe wazi nadhani inakua vzr sana kuliko hayo anayoyafanya inakua km anajaribu km yule aliempata kma ni kweli yuko nae au lah!
 
Hata hl la kua amepata mwingne linanijia sana make amebdlika kweli
Dah unanifanya nicheke,dats is the fact manzi ameshapata substitution na imempagawisha,kwa hakika wanaume 2nakazi.
 
It seems you have extra details over this issue.....! so, huenda wewe mwenyewe unahusika kwa kiasi kikubwa....! Play the right part of you and not that one....!
 
Dah unanifanya nicheke,dats is the fact manzi ameshapata substitution na imempagawisha,kwa hakika wanaume 2nakazi.
Kama ni kweli kapata substitution kwann asiwe wazi?wkt mwingne wanaume 2nataka kulazmisha mambo wakati yako wazi.
 
It seems you have extra details over this issue.....! so, huenda wewe mwenyewe unahusika kwa kiasi kikubwa....! Play the right part of you and not that one....!
Hapo konakali umeniacha mi nahusika vp?au sijakuelewa?
 
Sijui vijana wa dot com mkoje? Mwanamke akikusumbua piga chini haraka and move on!
 
huwa inatokea hasa pale mwanamke akianza kukutana na wanaume wengi katika eneo lake la kazi! hata mimi iliwahi kunitokea kama hii nilijitahidi sana kuacha lakini mtu kama umependa huwa ni msalaba mzito, ninaimani asilimia 40 nimeweza lakini tu napenda niseme kama ukiwa unampenda mwenzio kuacha huwa ni kazi ya ziada sana sana kukosana na marafiki washauri. waacheni wenyewe ndo wanaujua mwisho wao kwavile kila mmoja wao anaukumbuka mwanzo wa penzi lao misukosuko yake na pale walipowahi kufanya vizuri kwani hata mapungufu ya ndani kabisa wanayajua wao hivyo kwetu kama marafiki pakuanzia nipadogo sana kwakutumia picha ya nje wakati ya ndani ndo kubwa zaidi
 
Hapo uko sawa inaweza ikachangia tena kwa kiac kikubwa.lakini 2kienda pale mashemej haoneshi tofauti kbs ok ndugu 2nafanya nini kuokoa au kuyaponya maumivu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…