Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Nataka kusafiri kidogo. Lakini nataka safari yangu iwe yenye manufaa. Ninataka niende Tanga but sitaki enda mikono mitupu. Nataka nije na mzigo wa biashara. Wa kawaida tu usiozidi Mil 1. Kama utafiti tu.
Najiuliza nilete bidhaa gani Tanga ili niuze ndani ya siku 2-3 then nirudi zangu dar. But pia kama kuna mdau anaweza nikaribisha mkoani kwake ikiwa ana uhakika na uhitaji wa bidhaa flani naweza kuja ikiwa tu uhakika upo wa kuuza ndani ya siku chache.
Ili nisikae sana na pia kupunguza gharama za lodge. Nashukuru kwa mawazo yenu.