Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
juve3-1madrid. agg 3-4. juve outUpdates pls
leo ndio nimeamini kwanini kombe la Dunia hamna referee hata mmoja kutoka Uingeleza na viunga vyakeAhsante sana Perez ukishindwa kutongoza wewe nunua malaya tu
Hala uefadrid
leo ndio nimeamini kwanini kombe la Dunia hamna referee hata mmoja kutoka Uingeleza na viunga vyake
wamemiuzi sana leo. all Ndio wa ligi yetu pendwa.Wale ni "makocho"
Pole mkuu, Kwani Jamaa wameshatua kutoka Roma?mbona refa kaliziba vizuri tu zile dakika za ramos
Lkn umeangalia game ya leo mkuu?:Kuibetia Juve kwenye UEFA ipite to the next round mbele ya Madrid ni sawasawa na kumdhamini mmasai mahakamani ambapo siku ya kwenda mahakamani mmasai anaenda kuchunga ng'ombe!!!
Tupavu mnoleo ndio nimeamini kwanini kombe la Dunia hamna referee hata mmoja kutoka Uingeleza na viunga vyake
Wewe ni mwehu:Kuibetia Juve kwenye UEFA ipite to the next round mbele ya Madrid ni sawasawa na kumdhamini mmasai mahakamani ambapo siku ya kwenda mahakamani mmasai anaenda kuchunga ng'ombe!!!
Madrid kabebwa sanaNimeangalia mkuu, nilikuwa naangalia huku moyo ukiwa mkononi, Madrid hawakuwa na defense nzuri, nilikuwa na presha mwanzo mwenga,
Haters mko wengi. Bingwa mara 12 bado mnadai anabebwa.Madrid kabebwa sana