Kwa style hii hili kombe tunalibeba Mara kumi mfululizo

:Kuibetia Juve kwenye UEFA ipite to the next round mbele ya Madrid ni sawasawa na kumdhamini mmasai mahakamani ambapo siku ya kwenda mahakamani mmasai anaenda kuchunga ng'ombe!!!
Lkn umeangalia game ya leo mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…