Ndugu unaangalia ITV tu nini? ebu uwe unaangalia na channel za kimataifa , Netanyau na Trump wameshatangaza zaidi ya mara tatu ndani ya wiki moja, na meli ya mabomu mazito imeshaondoka philadefia kuelekea Israel , Imetangzwa na Aljazera tarehe 18 February, India wametangaza kupitia channel yao Cap , DW wametangaza, Tehran wameshajibu kuwa wanajipanga na wameshapeleka missile zao kwenye chambers zake hapo kuna siri tena wakati wanatangaza wenyewe?