Wimbo
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 866
- 625
katika wasilisho lako la leo Mh. Spika ulikuwa na nafasi ya kumuadabisha Mpina moja kwa moja lakini kwa kuzingatia utawala bora bado umeruhusu kamati zipitie hoja zake, na hoja ya utovu wa nidhamu wake ili utende haki. wengine wangedhani unajivua kuonekana mbaya, lakini huo ndio uongozi wa kujali. Ubarikiwe sana.