GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #41
Kuko Shwari kabisa ndiyo maana sina.Utupe na taarifa za Zambia..!!
Wewe popoma tumekuchoka nenda Rwanda kwa wasafi wenzako"Naam Amri Masare yaani tokea tuingie Rwanda na Msafara wa Mashabiki wa Yanga SC na sasa tunakaribia Jijini Kigali hatujakutana na Trafiki yoyote, Beria yoyote wala matuta ya Kupunguza mwendo barabarani na nchi ya Rwanda ni Safi hadi hata kutupa Takataka unaona Aibu na tumezihifadhi tu ndani ya Gari zitatupwa sehemu Maalun tukifika" Sauti ya Mtangazaji wa ITV na Radio One Hosea Mchopa akiwa njiani na Msafara wa Mashabiki wa Timu ya Yanga SC kuelekea Kigali nchini Rwanda Mchana huu wa Leo.
Hosea Mchopa nami GENTAMYCINE nakujibu kuna Taifa Moja Afrika nimelisahau Jina lenyewe Jiji lake Kuu Moja ni Chafu, Wakazi wa huo Mji nao Akili hawana ( na kama wanazo ni za Kuvukia tu Barabara na Kuchamba Maliwatoni ) na wana Trafiki kama Nzi wa Chooni kila baada ya Mita 50 au 100 na ni Taifa ambalo lipo lipo tu huku likizidiwa Maendeleo ya Israeli ya Afrika ( Rwanda )
Ukiona hadi GENTAMYCINE nalipenda Taifa la Rwanda ( Israeli ya Afrika ) jua nimeshajiridhisha nayo kuanzia Rais wao nimpendae hakuna mfano na Wananchi wote wa Rwanda kwakuwa wana Akili kuliko wale wanaotaka kugawa Rasilimali Maji zao kwa Emirati Wapigaji.
Huku Mke akiwashwawashwa na kumuita Mumewe aje amsaidie Vita ambayo Yeye, Mumewe huyo na Wapumbavu Wenzake wengine hawaiwezi si vibaya nikimsindikiza na huu Ujumbe murua / maridhawa kabisa hapa chini.........Mkuu Frank Wanjiru njoo huku unaitwa,naona dish halisomi njoo urekebishe!
Maoni haya ni rubbish, kuna tatizo gani kusifia nchi iliyotuzidi kimaendeleo?,Dar to Moro (194kms)check points 30 za nini zote hizo?rushwa imetamalaki, Kasane to Francis Town almost 450kms kuna check points mbili tu,na kuna zero corruption, watanzania mmeamua kuzaana kama simbilisi hilo ni tatizo lenu,Botswana wapo under 3M,na wanafanya ngono zaidi ya watanzania ila hawazaani,Dar ni jiji chafu, tusiogope kuusema ukweli,Kigali, Windhoek, cape Town ni majiji safi, tuwape hongera zaoKusifia nchi za wengine ni uchoko kabisa.
Hivi kwa akili za kawaida unaeza fananisha population ya rwanda na Tanzania?
Hivi kwa akili ya kawaida unaeza fananisha kiwango cha uzalishaji taka za aina yoyote kati ya Rwanda na Tanzania?
Hivi kwa akili ya kawaida unaweza kulinganisha bajeti inayotakiwa kuweka mazingira safi kati ya Rwanda na Tanzania kwa ku–relate geographical area ya hizi nchi?
Ukipata majibh ya hayo maswali huwezi kuandika upuuzi huu.
Mbona huwa humuiti huyo Moderator au Moderators hapa JamiiForums pale GENTAMYCINE nikiwa Natukanwa Kutwa matusi ya Mbwa, Taahira na Shoga na huyu huyu Mumeo unayentetea hapa LIKUD na akina Song of Solomon, Frank Wanjiru, Dr Matola PhD na Wengine baadhi?Matusi matusi matusi,halafu Mods wanakuangalia tu,watu wakikujibu unasema unachokozwa!.
Kuambiwa utafute hela ndo unatoa matusi?
YinYang huyu jamaa kwanini mnamlinda?
Una Akili ( Mwerevu ) mno ila nasikitika tu kuwa umepoteza muda mwingi Kumuelimisha huyo Juha ( Nincompoop ) kwani hatokuelewa kama ambavyo Wenye Akili Kubwa Wenzako tumekuelewa na umesema Ukweli na Uhalisia wake.Maoni haya ni rubbish, kuna tatizo gani kusifia nchi iliyotuzidi kimaendeleo?,Dar to Moro (194kms)check points 30 za nini zote hizo?rushwa imetamalaki, Kasane to Francis Town almost 450kms kuna check points mbili tu,na kuna zero corruption, watanzania mmeamua kuzaana kama simbilisi hilo ni tatizo lenu,Botswana wapo under 3M,na wanafanya ngono zaidi ya watanzania ila hawazaani,Dar ni jiji chafu, tusiogope kuusema ukweli,Kigali, Windhoek, cape Town ni majiji safi, tuwape hongera zao
Hasa ukijaa Kizembezembe katika 18 zangu.We bint una matusi!!
Nilikwambia Umwambie Mama yako anisubiri wiki hii narudi kumshughulikia!Mbona huwa humuiti huyo Moderator au Moderators hapa JamiiForums pale GENTAMYCINE nikiwa Natukanwa Kutwa matusi ya Mbwa, Taahira na Shoga na huyu huyu Mumeo unayentetea hapa LIKUD na akina Song of Solomon, Frank Wanjiru, Dr Matola PhD na Wengine baadhi?
Muulize huyo Moderator uliyemtaja hapa ni mara ngapi nimekuwa nikiwaambia kwanini Wanamlinda Mumeo LIKUD kila Siku hapa JamiiForums na Ananichokoza, Ananitukana na Ananidhalilisha ila hawamfanyi lolote na bado tu hajaiacha hiyo tabia?
Kwa mfano Kitendo cha Mimi kuanzisha hii Mada hapa na Yeye kuja kuniambia nitafute Hela ilikuwa ni mahala pake? Je, neno Kukaza ni Tusi? Kama ni Tusi naomba Mpumbavu Mmoja Wewe Unithibitiahie hapa kuwa ni Tusi na kwanini Kwako liwe Tusi sawa?
Mnafiki na Juha mkubwa Wewe ni mara ngapi hapa huwa nakuja na hili ANGALIZO langu hapa chini........
ANGALIZO
Ukijijua tu HUMPENDI na UNAMCHUKIA mno GENTAMYCINE na HUMKUBALI wala HUVUTIWI na MADA ( THREADS ) zake Kutwa hapa JamiiForums cha kufanya ni KUACHANA nae au MBLOKU ( IGNORE ) na endelea KUWASOMA MEMBERS wako ambao UNAWAPENDA, UNAWAKUBALI na unawaona ni BORA KWAKO na uniachie / uwaache wale MEMBERS Wanaonielewa waendelee KUHABARIKA, KUELIMIKA na KUBURUDIKA nami hapa JamiiForums.
Kitendo cha Kujijua huwa HUNIPENDI, HUNIKUBALI na HUVUTIWI na UWASILISHAJI Wangu hapa JamiiForums halafu bado tena UNAWASHWAWASHWA nami kama MBWA JIKE anayetaka KUPANDWA kunaonyesha kuwa UNANIKUBALI ( UNANIPENDA ) hadi KUMOYO na huku KUNICHUKIA Kwako ni KUZUGA tu.
Na bahati nzuri au mbaya nikianzisha MADA ( THREAD ) hapa huwa SIMUITI au SIMLAZIMISHI Mru Kusoma hivyo sitaki SHOBO za ki MAGOMENI MAPIPA KWA MACHENI.
Nimemaliza.
Je, Wewe na huyo LIKUD wako huwa mnalifuata na Kulizigata? Halafu nikusafie tu leo kuwa GENTAMYCINE sijawahi na sitokuja kuogopa BAN kama ninastahili na siyo nyingi za Chuki, Wivu na Hasira kutokana na Umaarufu wangu au Kukubalika Kwangu hapa JamiiForums sawa?
Huna / Hamna Akili.
Hapa hutomuona Mnafiki TUKANA UONE akimuita Moderator YinYang akisema Mpwayungu Village AMENITUKANA GENTAMYCINE kwa Kuniita CHOKO / SHOGA ila Mimi nikijibu Mashambulizi ndiyo utaona anajitokeza.Acha matusi we choko
ACHA MATUSI FALA WEWEHapa hutomuona Mnafiki TUKANA UONE akimuita Moderator YinYang akisema Mpwayungu Village AMENITUKANA GENTAMYCINE kwa Kuniita CHOKO / SHOGA ila Mimi nikijibu Mashambulizi ndiyo utaona anajitokeza.
ANGALIZO
Ukijijua tu HUMPENDI na UNAMCHUKIA mno GENTAMYCINE na HUMKUBALI wala HUVUTIWI na MADA ( THREADS ) zake Kutwa hapa JamiiForums cha kufanya ni KUACHANA nae au MBLOKU ( IGNORE ) na endelea KUWASOMA MEMBERS wako ambao UNAWAPENDA, UNAWAKUBALI na unawaona ni BORA KWAKO na uniachie / uwaache wale MEMBERS Wanaonielewa waendelee KUHABARIKA, KUELIMIKA na KUBURUDIKA nami hapa JamiiForums.
Kitendo cha Kujijua huwa HUNIPENDI, HUNIKUBALI na HUVUTIWI na UWASILISHAJI Wangu hapa JamiiForums halafu bado tena UNAWASHWAWASHWA nami kama MBWA JIKE anayetaka KUPANDWA kunaonyesha kuwa UNANIKUBALI ( UNANIPENDA ) hadi KUMOYO na huku KUNICHUKIA Kwako ni KUZUGA tu.
Na bahati nzuri au mbaya nikianzisha MADA ( THREAD ) hapa huwa SIMUITI au SIMLAZIMISHI Mru Kusoma hivyo sitaki SHOBO za ki MAGOMENI MAPIPA KWA MACHENI.
Nimemaliza.
Mpwayungu Village aliyeniita CHOKO / SHOGA hapo juu Yeye HAJANITUKANA? Je, hujaona bado Umuhimu wa kumuita Moderator YinYang?ACHA MATUSI FALA WEWE
ANGALIZOUtukane watu halafu urudishiwe wewe uanze kumtag moderators
YinYang kama kweli hampendelei na kuonea pitia post hapo juu muone alivyoanzisha matusi yeye!
Nonsensical, Rubbish and you're an Idiot.Huwezi kuandika Nyuzi za kukashifu na kukejeli timu ambazo zina mashabiki wanazipenda halafu utegemee tukutazame tu,Ukitaka usiguswe usiwe unaandika habari za Yanga wakati huo ukifahamu kabisa wewe ni shabiki wa Simba!.
Asante kwa Elimu hii ya Kiufafanuzi ambayo nitashukuru pia Mmoja wa Moderators YinYang nae akiiona.Hivi mtu kaanzisha mada nzuri tu, then mtu anamwambia atafute hela maana yake ni kejeli na dharau halafu akijibu vibaya mnamzonga. Mi naona GENTAMYCINE yupo sahihi kuwajibu hovyo maana mnaanza.
Watanzania asilimia kubwa ustaarabu kwetu ni Sifuri,,Tunakuwaga na sababu za kipuuzi hata kwenye mambo ya msingi,,ambayo kiukweli ilibidi tuchukue hatuna na kuyafanikisha Kwa ubora zaidi!! Ustaarabu haungalii ukubwa au udogo Bali ni utendaji wenye Maono,,fikra,,,na mitazamo iliyotukuka!!Kusifia nchi za wengine ni uchoko kabisa.
Hivi kwa akili za kawaida unaeza fananisha population ya rwanda na Tanzania?
Hivi kwa akili ya kawaida unaeza fananisha kiwango cha uzalishaji taka za aina yoyote kati ya Rwanda na Tanzania?
Hivi kwa akili ya kawaida unaweza kulinganisha bajeti inayotakiwa kuweka mazingira safi kati ya Rwanda na Tanzania kwa ku–relate geographical area ya hizi nchi?
Ukipata majibh ya hayo maswali huwezi kuandika upuuzi huu.