πππHuna akili, unaandikaga ushuzi tu [emoji38][emoji38][emoji38]
Shida ya Watanzania, ni kukataa ukweli, Rwanda wako vizuri sisi tuna miji michafu na trafiki wamejazana Kila Kona. Na usafi au umakini aujalishi nchi ndogo au kubwaKusifia nchi za wengine ni uchoko kabisa.
Hivi kwa akili za kawaida unaeza fananisha population ya rwanda na Tanzania?
Hivi kwa akili ya kawaida unaeza fananisha kiwango cha uzalishaji taka za aina yoyote kati ya Rwanda na Tanzania?
Hivi kwa akili ya kawaida unaweza kulinganisha bajeti inayotakiwa kuweka mazingira safi kati ya Rwanda na Tanzania kwa kuβrelate geographical area ya hizi nchi?
Ukipata majibh ya hayo maswali huwezi kuandika upuuzi huu.
Yaani kabisa Mtanzania awe na Ustaarabu? Toka lini?Watanzania asilimia kubwa ustaarabu kwetu ni Sifuri,,Tunakuwaga na sababu za kipuuzi hata kwenye mambo ya msingi,,ambayo kiukweli ilibidi tuchukue hatuna na kuyafanikisha Kwa ubora zaidi!! Ustaarabu haungalii ukubwa au udogo Bali ni utendaji wenye Maono,,fikra,,,na mitazamo iliyotukuka!!
Tafuta helaAsante kwa Elimu hii ya Kiufafanuzi ambayo nitashukuru pia Mmoja wa Moderators YinYang nae akiiona.
Ila Mkuu jiandae sasa Kuambiwa kuwa Wewe ni Mimi GENTAMYCINE kutokana na Kunitetea Kwako hivi kwani ID's zote zinazonikubali na hata Kunipigania hapa JamiiForums zinasmbiwa ni zangu ( ni Mimi GENTAMYCINE ) ila zile za Kunichokoza, Kunishambulia, Kunitukana, Kunichafua na Kunidhalilisha za akina LIKUD, Song of Solomon, dr namugari, Frank Wanjiru, Dr Matola PhD, Tate Mkuu, UMUGHAKA, ngeti na nyinginezo baadhi zenyewe huwa hazihusishwi na Mimi.
Na wangekuwa na Akili ( ambazo Mtu kama TUKANA UONE hana kabisa ila anazo za Unafiki tu ) kwa hili ANGALIZO langu nitakaloliweka hapa wala wasingekuwa wanapoteza muda Wao wa Kutwa Kuhangaika Kufungua Mada ( Threads ) zangu hapa JamiiForums wakati Kutwa wanahubiri Kunichukia.....
ANGALIZO
Ukijijua tu HUMPENDI na UNAMCHUKIA mno GENTAMYCINE na HUMKUBALI wala HUVUTIWI na MADA ( THREADS ) zake Kutwa hapa JamiiForums cha kufanya ni KUACHANA nae au MBLOKU ( IGNORE ) na endelea KUWASOMA MEMBERS wako ambao UNAWAPENDA, UNAWAKUBALI na unawaona ni BORA KWAKO na uniachie / uwaache wale MEMBERS Wanaonielewa waendelee KUHABARIKA, KUELIMIKA na KUBURUDIKA nami hapa JamiiForums.
Kitendo cha Kujijua huwa HUNIPENDI, HUNIKUBALI na HUVUTIWI na UWASILISHAJI Wangu hapa JamiiForums halafu bado tena UNAWASHWAWASHWA nami kama MBWA JIKE anayetaka KUPANDWA kunaonyesha kuwa UNANIKUBALI ( UNANIPENDA ) hadi KUMOYO na huku KUNICHUKIA Kwako ni KUZUGA tu.
Na bahati nzuri au mbaya nikianzisha MADA ( THREAD ) hapa huwa SIMUITI au SIMLAZIMISHI Mru Kusoma hivyo sitaki SHOBO za ki MAGOMENI MAPIPA KWA MACHENI.
Nimemaliza.
Mkhundhwow unakuwasha.Asante kwa Elimu hii ya Kiufafanuzi ambayo nitashukuru pia Mmoja wa Moderators YinYang nae akiiona.

Ili 'Nikukaze' vizuri?
Posts kama hizi za GENTAMYCINE Kutukanwa kama hivi na Dr Matola PhD hutomuona Mnafiki Mwandamizi TUKANA UONE akija Kumlaumu na kumuita Moderator YinYang ila anangojea nimjibu kwa Mapigo yangu Makali na Matakatifu ndiyo aje Kunilaumu na Kumuita.Mkhundhwow unakuwasha.
Aliyekuzaa ana Ukweli zaidi yako Mwanae.We mwanamke unamkaza vipi mwanaume? Acha ujinga
Kisha Ubebe 'Mimba 'yangu?Tafuta hela
Kisha Ubebe 'Mimba 'yangu?
N.a. Mimi ndo nashangaa mkuu siku zote najuaga mtoa mada ni keWe mwanamke unamkaza vipi mwanaume? Acha ujinga
Kwani Wewe ni lini umekuwa Mwanaume?Siku zote najuaga we ni ke aisee
Ni lini ulienda kubadili Jinsia yako na leo unajiita / unajiona ni Mwanaume wakati Wewe ni Mwanamke tu?N.a. Mimi ndo nashangaa mkuu siku zote najuaga mtoa mada ni ke
Kuwa na adabu bintiHasa ukijaa Kizembezembe katika 18 zangu.
Hopeless.Kuwa na adabu binti
tuwaige wanyarwanda"Naam Amri Masare yaani tokea tuingie Rwanda na Msafara wa Mashabiki wa Yanga SC na sasa tunakaribia Jijini Kigali hatujakutana na Trafiki yoyote, Beria yoyote wala matuta ya Kupunguza mwendo barabarani na nchi ya Rwanda ni Safi hadi hata kutupa Takataka unaona Aibu na tumezihifadhi tu ndani ya Gari zitatupwa sehemu Maalun tukifika" Sauti ya Mtangazaji wa ITV na Radio One Hosea Mchopa akiwa njiani na Msafara wa Mashabiki wa Timu ya Yanga SC kuelekea Kigali nchini Rwanda Mchana huu wa Leo.
Hosea Mchopa nami GENTAMYCINE nakujibu kuna Taifa Moja Afrika nimelisahau Jina lenyewe Jiji lake Kuu Moja ni Chafu, Wakazi wa huo Mji nao Akili hawana ( na kama wanazo ni za Kuvukia tu Barabara na Kuchamba Maliwatoni ) na wana Trafiki kama Nzi wa Chooni kila baada ya Mita 50 au 100 na ni Taifa ambalo lipo lipo tu huku likizidiwa Maendeleo ya Israeli ya Afrika ( Rwanda )
Ukiona hadi GENTAMYCINE nalipenda Taifa la Rwanda ( Israeli ya Afrika ) jua nimeshajiridhisha nayo kuanzia Rais wao nimpendae hakuna mfano na Wananchi wote wa Rwanda kwakuwa wana Akili kuliko wale wanaotaka kugawa Rasilimali Maji zao kwa Emirati Wapigaji.
Rwanda hakuna waswahili"Naam Amri Masare yaani tokea tuingie Rwanda na Msafara wa Mashabiki wa Yanga SC na sasa tunakaribia Jijini Kigali hatujakutana na Trafiki yoyote, Beria yoyote wala matuta ya Kupunguza mwendo barabarani na nchi ya Rwanda ni Safi hadi hata kutupa Takataka unaona Aibu na tumezihifadhi tu ndani ya Gari zitatupwa sehemu Maalun tukifika" Sauti ya Mtangazaji wa ITV na Radio One Hosea Mchopa akiwa njiani na Msafara wa Mashabiki wa Timu ya Yanga SC kuelekea Kigali nchini Rwanda Mchana huu wa Leo.
Hosea Mchopa nami GENTAMYCINE nakujibu kuna Taifa Moja Afrika nimelisahau Jina lenyewe Jiji lake Kuu Moja ni Chafu, Wakazi wa huo Mji nao Akili hawana ( na kama wanazo ni za Kuvukia tu Barabara na Kuchamba Maliwatoni ) na wana Trafiki kama Nzi wa Chooni kila baada ya Mita 50 au 100 na ni Taifa ambalo lipo lipo tu huku likizidiwa Maendeleo ya Israeli ya Afrika ( Rwanda )
Ukiona hadi GENTAMYCINE nalipenda Taifa la Rwanda ( Israeli ya Afrika ) jua nimeshajiridhisha nayo kuanzia Rais wao nimpendae hakuna mfano na Wananchi wote wa Rwanda kwakuwa wana Akili kuliko wale wanaotaka kugawa Rasilimali Maji zao kwa Emirati Wapigaji
Mwanamke una mdomo mchafu sana msimbe weweAliyekuzaa ana Ukweli zaidi yako Mwanae.