L Lubaluka JF-Expert Member Joined May 18, 2009 Posts 496 Reaction score 44 Nov 1, 2010 #21 Nampongeza sana Mr. Diallo kwa kukubali matokeo. Ni jambo la busara. Pili kwa alie karibu nae naomba amshauri ili aweze kumpigia simu Dr. Batilda na kumsihi naye akubali matokeo ili kunusuru damu kumwagika!!
Nampongeza sana Mr. Diallo kwa kukubali matokeo. Ni jambo la busara. Pili kwa alie karibu nae naomba amshauri ili aweze kumpigia simu Dr. Batilda na kumsihi naye akubali matokeo ili kunusuru damu kumwagika!!
Wakuletwa Senior Member Joined Oct 31, 2010 Posts 134 Reaction score 9 Nov 1, 2010 #22 Lazima akubalim kwani si unajua nyuki hakumbatiwi!!!!!!
Bado Niponipo JF-Expert Member Joined Aug 15, 2008 Posts 680 Reaction score 168 Nov 1, 2010 #23 NATA said: safi sana dialo huo ni uungwana! Jaribu tena 2005 Click to expand... NATA, 2005 ipi hiyo mkuu?
NATA said: safi sana dialo huo ni uungwana! Jaribu tena 2005 Click to expand... NATA, 2005 ipi hiyo mkuu?
Superman JF-Expert Member Joined Mar 31, 2007 Posts 5,693 Reaction score 1,702 Nov 1, 2010 #24 We should be proud of having people like Diallo! Big up!
A AMETHYST Senior Member Joined Sep 25, 2007 Posts 111 Reaction score 3 Nov 1, 2010 #25 Ngongo said: Dialo ameonyesha ukomavu mkubwa laiti Masha na Batilda wangekuwa na moyo wa jinsi hii Tanzania ingeendelea kuwa kisiwa cha amani. Click to expand... safi sana, masha na batilida watasaini
Ngongo said: Dialo ameonyesha ukomavu mkubwa laiti Masha na Batilda wangekuwa na moyo wa jinsi hii Tanzania ingeendelea kuwa kisiwa cha amani. Click to expand... safi sana, masha na batilida watasaini