GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Msanii Nandi alipopanda Jukwaani wala Mheshimiwa Rais 'hakushoboka' nae mpaka pale Nandi Yeye kama Yeye alipoamua 'Kujipeleka' Kwake ili avalishwe 'Kofia'. Lakini kwa Msanii Zuchu Yeye alipopanda tu Jukwaani Mheshimiwa Rais hakusubiri hata muda uchelewe ambapo aliamka na Kuelekea alipokuwa Zuchu na kuanza 'Kuserebuka' nae huku akionyesha 'Kufurahia' na hadi 'Kumfurahia' kabisa.
Je, hii ni 'tafsiri' gani? Nasubiri 'Mitazamo' yenu Wajuvi ( Wadau ) wa mambo hapa Jamvini ( JamiiForums ) kwani huwa hamshindwi chochote kile.
Je, hii ni 'tafsiri' gani? Nasubiri 'Mitazamo' yenu Wajuvi ( Wadau ) wa mambo hapa Jamvini ( JamiiForums ) kwani huwa hamshindwi chochote kile.