mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Toa maoni yake hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubishoo mwingiiiNeymar kaukosea mpira adabu.. hakuwa na njaa ya mafanikio saana uwanjani, njaa ya neymar ukilinganisha na cr7 badi neymar huenda angekuwa mchezaji wa kipekee mnoo toka dunia iumbwe
Neymar kafanya vitu vingi vizuri Ila mashabiki wengi tunakumbuka mechi chini ya tano alizotukosea..Neymar kaukosea mpira adabu.. hakuwa na njaa ya mafanikio saana uwanjani, njaa ya neymar ukilinganisha na cr7 basi neymar huenda angekuwa mchezaji wa kipekee mnoo toka dunia iumbwe
Neymar mwenyewe anaimba kama hujui[emoji23][emoji23]Mpira na ubishooo mwingi hata haviendani, mi nadhani ubishooo mwingi unafaa kwenye mziki.
Pia Girou amefunga magoli muhimu katika nyakati muhimu zaidiUtoto mwingi sana kichwani ndicho kinacho/kilicho muangusha hadi sasa dunia isimheshimu.
Leo hii Olivier Giroud anaonekana mtu wa maana japo amefunga magoli machache kuliko Neymar kwa vile anafanya kile anachoweza kwa bidii licha ya kuwa na kipaji kidogo sana.
Umesemaje?Kuna magoli mengi halafu **** Magoli muhimu
Utoto na ubishoo ulimharibu jamaa...
Hii kali asee! Kumbe kwenye mpira kuna magoli ambayo huwa hayana umuhimu??Kuna magoli mengi halafu **** Magoli muhimu.
The likes of Ronaldo9 alikuwa anaibeba timu kwa magoli kwenye mechi muhimu za ushindani mkubwa.
R.Gaucho na Ricardo Kaka pia.
Namaanisha magoli yao yalikuwa yanaleta na matokeo muhimu sana.
Neymar and Firminho output ni sifuri
Yapo, kama ya Saido last season unafunga goli 5 mechi moja then next match haufungi timu inatoaka draw bora ufunge goli moja moja kwenye mechi 5Hii kali asee! Kumbe kwenye mpira kuna magoli ambayo huwa hayana umuhimu??