Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,589
- 35,268
Katika mechi 11 zilizopita Ufaransa ameshinda mechi 5 , amefungwa mechi 4 na ametoka droo mechi mbili, amefunga magoli 17 na amefungwa magoli 13
Kwa upande wake Morocco , katika mechi 11 zilizopita, ameshinda mechi 8 , hajafungwa mechi hata moja , ametoka droo mechi 3, amefunga magoli 19 na amefungwa magoli 3 pekee.
Kwa data hzi bila kupepesa macho Morocco ndo Taifa gumu zaidi kufungika duniani Kwa sasa Ufaransa ana kazi ngumu zaidi kuweza kuwafunga hawa jamaa.
Timu zilizofungwa na Morocco zilikuwa vizur mno, tatizo walikutana na timu iliyo well organized and we'll prepared....., Kwa mara nyingine Morocco inaenda kuviteka vyombo vya habari duniani kote, wazee wa kubet msifanye makosa Kwa kuangalia jina, mtaliwa kichwa