Kwa Tanzania, Kiwango cha Kodi ni Asilimia ngapi?

mbiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2014
Posts
529
Reaction score
135
Habarini wadau,

Swali langu ni; kwa Tanzania, kiwango cha kodi ni asilimia ngapi? Mfano, kampuni au mtu akinunua kitu kutoka kwa mtu mfano nyumba au programu kwa kwa kiwango labda cha shilingi milioni 300, Je, yule mtu inabidi alipe asilimia ngapi ya ile hela kwa Serikali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…