Mr No fair
Member
- Oct 25, 2020
- 84
- 122
Dar es salaam? Kwasababu Mimi nipo Dodoma na kuna project na plan kuifanya ina hitaji chemicals aina kama 7 nikipiga hesabu kuhusu masuala ya kusafilisha kutoka nje naona nakwama kabisa mlolongo unakuwa mkubwa sana na kila mlolongo unahitaji pesa Nahisi kuna mahali nitakwama hata kwenye upande wa pesa ndo maana naona nitafute kwa hapa bongo naweza kupata?Chang'ombe Mbozi Road kabla ya kufika TMJ pale kuna chimbo mkono wa kushoto kama unaelekea TMJ.
Nenda TATA Holidings Vingunguti
Chang'ombe Mbozi Road kabla ya kufika TMJ pale kuna chimbo mkono wa kushoto kama unaelekea TMJ.
Calcium carbonate wacheck RKNingepata jina la hiyo kampuni/ofisi ingekuwa magoli sana
Mkuu, jina mpaka niende pale kitu ambacho ni ngumu kutoka na ratiba, ila kwa maelezo mafupi ni kwamba, Ukishavuka geti la Veta, kuna barabara inaingia kulia kwako, inaitwa Mbozi road, mita kama 50 kutoka main road utakuta barabara inakatiza unaivuka then geti linalofuata hapo ndo penyewe, mkono wa kushoto kwako.. geti jeusi.Ningepata jina la hiyo kampuni/ofisi ingekuwa magoli sana
Una google tu mkuu! Kila kitu kipo kiganjaniAhsante mkuu hawana website labda naweza kupata mawasiliano yao labda email yao nk kwasababu Mimi kwasasa nipo DODOMA
Mbona hii TATA imekaa kama ni kampuni ya kuuza magali ? Na sio chemicals?Calcium carbonate wacheck RKView attachment 2576169View attachment 2576177
Wanahusika pia na chemical.Mbona hii TATA imekaa kama ni kampuni ya kuuza magali ? Na sio chemicals?