Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Habari zenu.
Mtaji wa maisha ni Akili zetu na thawabu to Kwa mola wetu, watanzania kuweni na akili kubwa tumieni hata Milango mikuu ya fahamu ya mwanadamu kufanya tathimini viongozi wanapotumia jukwaa kuzungumza mambo.
Fanyeni rejea ya mstaafu akiongea kama mtu aliepooza, wa baridi, Nuru finyu, bashasha finyu, low energy , low voice, na mahali sauti imetokea so kwenye msingi wa kweli wenye kunasibisha hio kweli.
Sauti haijatokea deep down imetoka mdomoni tena ulimini si hata kwenye Koo au kifua achilia mbali tumboni.
Nawaibia akili kidogo zetu sisi akina madenge na sokomoko tunaelewa.
Rudieni kumsikiliza lisemwalo lipo na kamalizia mwenyewe Kwa kusema labda mambo yaharibike sanaaa. Hivi mnaelewa uzito wa haya maneno
Nawakomaza akili ya tathimini.
Am out