Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,635
- 4,160
[emoji121]
WAKUU,
HIVI HIZI TEKNIKI HAWA NDUGU ZETU WANAWAKE WANAZITOA WAPI??
------------------
JANA NIME_CHILL NAPIGA STORI NA WANA KIJIWENI,
HUKU TUKIJIFAJIRI DHIDI YA HIZI CHANGAMOTO ZA KUSUBIRIA AJIRA ZETU KWA MUDA MREFU BILA MAFANIKIO,
KUNA MWANANGU MMOJA NIMESOMA NA'E PRIMARY PALE CHUNO, MTWARA,
PIA A_LEVEL PALE NDANDA, MASASI
KAANZA KUTUPA STORI YAKE NA GIRLFRIEND WAKE,
AKASEMA,
"I see hawa ndugu zetu wanawake wametisha sana kwa tekniki za kusawazisha korongo kwa muda mfupi.
Yaani nimeshangaa girlfriend wangu mkorofi na msumbufu kupindukia,
juzi kaja kwangu kafua nguo zote hadi zile ambazo ni safi.
-Kapiga deki room inang'aa.
-Anaongea kwa upole na unyenyekevu uliokithiri.
-Anadiriki hadi kuamkia mara mbilimbili huku akipiga magoti,
Vitu ambavyo hajawahi kuvifanya before.
-Akatoa hadi ushauri na nasaha tele,
" My Husband to be,
Naomba uudumishe sana undugu na marafiki wema, wakarimu, wenye huruma, adabu, hekima na busara kama huyu
Seneta Wa Mtwiz.
-Ikafikia hatua hadi anaomba msamaha kwa makosa ambayo hahusiki nayo kabisa,
Eti,
"Dear,
I am very sorry kwa kauli za Donald_Trumph dhidi ya wapinzani wake,
Naomba unisamehe bure ...."
Mara,
"Excuse me honey
Kwa mfadhaiko wanaoupata Man U kufuatia kuzorota kwa Pogba."
---------
MWANA ALISHANGAA SANA MABADILIKO HAYO YA GHAFLA KWA MWENZI WAKE,
NA
AKAFIKIRIA KUTANGAZA NDOA MUDA SI MREFU.
BAADA YA SARAKASI ZOTE HIZO
JIONI AKASEMA,
"Dear sorry,
nina shida ya laki 2½ please."
-------------------
MZUKA WOTE WA KUTANGAZA NDOA MWANA UKAMWISHIA,
AKANIAMBIA
"Ndugu Yangu Seneta Wa Mtwiz,
Hawa wenzetu hawa kwa tekniki za unyonyaji
wametisha zaidi Bomb aina ya Nyukilia_Ektigeita!!!
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]