Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Kwa mpira huu waliocheza na giant young Africans nipende tu kusema ....Simba asanteni Kwa kushiriki michuano ya super league
Boko + Miquison waliingizwa Kwa shinikizo la nani ???.?..
Kama sio ubutu wa safu ya ushambuliaji wa Yanga ......basi Simba wangekula hata 6_ 0
NB: Yanga bado wanashida na upigaji wa mipira iliyokufa
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app