Matuta hayana m,babePamoja na yote ila utopolo ameliwa ndio jambo la msingi.
NB: KAMA SIO UZITO WA VIUNGO UTO ALIKUWA ANAGONGWA 9-0
We kubali umeliwa kiboga ila kwa mbinde ila imepenya
Hivi Yanga kwa nini CAF hawatufikirii kutuingiza kwenye hiyo league? Tumewakosea nini? Ni kweli tumepoteza mechi mbili mfululizo mbele ya Simba, lakini makombe tunayo, ni hiyo ngao tu ndio tumeipoteza. Tulipaswa tucheze hiyo ligi. Hata takwimu zinatubeba, si unaona kona tulizopata jana? Ni nyingi kuliko hao walioteuliwa kucheza Super League. Au walihonga kupata hiyo nafasi?Kwa mpira huu waliocheza na giant young Africans nipende tu kusema ....Simba asanteni Kwa kushiriki michuano ya super league
HAUNA AKILI unasemaje matuta hayana mbabe kwani baada penelty ubingwa alichukua nani?
Halafu unapoteza mechi! Asante injinia kwa kutuletea Skudu na Zwawa 😁Possession 59 Kwa 41
Kipindi wazo la hii ligi linaanzishwa Yanga tulikua tunashika nafasi ya chini kwenye ranks za CAF nafikiri tulikua 78, sasa hivi tumepanda mpaka 18. Kabla ya kufanya vizuri kwenye confederation mwaka jana Yanga hatukua tunafahamika Afrika kama Simba. Tukiendelea na muendelezo mzuri CAF basi super league ya msimu ujao lazima tutakuwepoHivi Yanga kwa nini CAF hawatufikirii kutuingiza kwenye hiyo league? Tumewakosea nini? Ni kweli tumepoteza mechi mbili mfululizo mbele ya Simba, lakini makombe tunayo, ni hiyo ngao tu ndio tumeipoteza. Tulipaswa tucheze hiyo ligi. Hata takwimu zinatubeba, si unaona kona tulizopata jana? Ni nyingi kuliko hao walioteuliwa kucheza Super League. Au walihonga kupata hiyo nafasi?
Daaah hatari mkuuYanga bila mayele imeanza kuonekana
Uzuri... Ligue kuu hakuna matutaWe kubali umeliwa kiboga ila kwa mbinde ila imepenya
Bado tunatengeneza timuHivi Yanga kwa nini CAF hawatufikirii kutuingiza kwenye hiyo league? Tumewakosea nini? Ni kweli tumepoteza mechi mbili mfululizo mbele ya Simba, lakini makombe tunayo, ni hiyo ngao tu ndio tumeipoteza. Tulipaswa tucheze hiyo ligi. Hata takwimu zinatubeba, si unaona kona tulizopata jana? Ni nyingi kuliko hao walioteuliwa kucheza Super League. Au walihonga kupata hiyo nafasi?
Aiyechukua ubingwa. Alichukua Kwa njia ya matutaHAUNA AKILI unasemaje matuta hayana mbabe kwani baada penelty ubingwa alichukua nani?
Jukwaa limeingiliwa na vichaaWe kubali umeliwa kiboga ila kwa mbinde ila imepenya
huyo ndie m'babe.Aiyechukua ubingwa. Alichukua Kwa njia ya matuta
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app