Kwa timu hizi za Shirikisho, Simba isipochukuwa kombe ni uzembe

Kwa timu hizi za Shirikisho, Simba isipochukuwa kombe ni uzembe

Timu zote za Shirikisho safari hii ni DHAIFU SANA, yenye afadhali ni Simba tu.
Ni kweli hakuna team yenye lank sawa na simba ni aibu tukishindwa kuchukua hili kombe.. naona timu ngumu ni 4 tu al mereki, sr benkane, alh Tripoli na enyimba labda na as vita ya congo.
 
Ata ao Simba wenyewe hawakuelewi kama unawa dhihaki au una maanisha.
Nina maanisha kabisa. Hii ni bahati kubwa sana kwa timu yetu ya Simba safari hii. Na ikitokea Simba kuishia njiani ITASTAHILI KUZOMEWA NA KILA MTU.

Kwa timu hizo za Shirikisho za sasa hata ingekuwa Mashujaa ingefika nusu fainali na ingekuwepo Azam ingefika fainali .

Simba imebahatika sana safari hii
 
Mpira hautabiriki
 
tul
Ni kweli hakuna team yenye lank sawa na simba ni aibu tukishindwa kuchukua hili kombe.. naona timu ngumu ni 4 tu al mereki, sr benkane, alh Tripoli na enyimba labda na as vita ya congo.
ia bado tunajenga timu, ingekuwa simba ile ya moto ndo ungesema haya
 
Timu zote za Shirikisho safari hii ni DHAIFU SANA, yenye afadhali ni Simba tu.

Simba ya sasa ina jina kubwa tu na rank nzuri ktk Vilabu bora África
ila ukubwa huu ulibebwa na perfomance ya misimu iliyopita

Simba hii ya sasa ina wachezaji wengi wapya, wasio na experience kubwa ktk michuano ya CAF,
hvyo tusiwape Matarajio makubwa kwasababu ya ukubwa wa jina la Simba

Simba ya msimu ule ina Chama, Sakho, Morrison, Bwalya hawa akina Ahoua, Balua na Mutale wangeishia kucheza Mapinduzi Cup tu
 
Zamalek, Berkane, USMA - hawa wote wameizidi uto katika ubora na rank za CAF. ASEC wamezidiwa kwa point moja tu na uto katika rank za CAF na ndiyo kiwanda cha kupeleka wachezaji pale uto kwa sasa. Hawa wote wapo Shirikisho.

Muelewe tunaposema msimu huu Shirikisho ndiyo mashindano yenye mvuto zaidi Africa.
 
Back
Top Bottom