Kwa Timu za Simba na Yanga ni nani anayeamua kubadili Kocha na labda vigezo vyao vinakuwa nini hasa ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Nimeona ni vema nikalifahamu hili ili na mimi nitoe tongo tongo , hasa baada ya ujio wa huyu kocha mpya wa Simba baada ya kumuondoa aliyeleta ubingwa , huku nikikumbuka Yanga ilivyomuondoa Pluijm miaka michache iliyopita .

Natanguliza shukrani .
 
We acha tu mkuu
 
rais wa timu akiamua kubadili kocha anabadili tuu hakuna muongozo
 
Nimeona ni vema nikalifahamu hili ili na mimi nitoe tongo tongo , hasa baada ya ujio wa huyu kocha mpya wa Simba baada ya kumuondoa aliyeleta ubingwa , huku nikikumbuka Yanga ilivyomuondoa Pluijm miaka michache iliyopita .

Natanguliza shukrani .
Hizi timu ni kama taasisi fulani kuna uongozi na bodi ya timu hivyo kocha yeyote asipofikia malengo huwa anaondolewa na body na anayefikia malengo huwa anaongezewa mkataba
 
Kwa mfano unaweza kutuwekea malengo ya Simba msimu uliopita yaliyozidi ubingwa walioupata ?
 
Hizi timu ni kama taasisi fulani kuna uongozi na bodi ya timu hivyo kocha yeyote asipofikia malengo huwa anaondolewa na body na anayefikia malengo huwa anaongezewa mkataba
Lachante hakufikia malengo yepi maana ubingwa mlioutafuta muda mrefu mliupata!!!
 
swadakta ! nakuhakikishia huyu Tall wa sasa atatimuliwa mithili ya paka aliyekunywa maziwa ya mtoto , subiri !
 
Tatizo wakati wa Lachante mechi nyingi tulinunua hivyo hatuwezi kumpa Credit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…