malogi1976
JF-Expert Member
- Apr 22, 2016
- 297
- 168
Ninahitaji ushauri,
Mimi ni mfanyabiashara hapa Tabora na huwa nalipa SDL ya wafanyakazi bila kuwachelewesha malipo ya mwezi.
Tulivyoenda lipa SDL ya mwezi wa kwanza tukalipa na nikaambiwa malipo ya mwezi unaofuata tutalipa online tumefanya hivyo ila sasa ukiingia online ninaona imeandikwa payment of tax na unfiled returns of employee overdue.
Ukienda waona ili wafute kwenye computer wanasema haitaniletea shida ila mimi naangalia kwa baadaye maana TRA hawakawii kuja kutugeuka. Malipo ya online Tanzania ni shida kwa kweli. TRA Tabora tunaomba mtatue hii kitu isije leta shida baadaye na muwe mnatusikiliza.