Kwa Tsh. 100,000 tu unafanya biashara Kariakoo

Kwa Tsh. 100,000 tu unafanya biashara Kariakoo

fact only

Senior Member
Joined
Sep 9, 2024
Posts
196
Reaction score
288
Habari Wana JF.

Thread hii inahusu KARIAKOO
Naomba nianze Kwa kutoa shukurani zangu za dhati Kwa Wana JF wote mlio niamini na mkafanya kazi na Mimi shukurani Sana. { ingawa wengi mkija kariakoo hamtaki nijue ID zenu mnasema mmeona tangazo langu X zamani Twitter, Instagram, Facebook wengine mnasema ndugu zenu wamewatumia namba yangu ingawa me Sina mtando mwingine zaidi ya JF na WhatsApp but it's ok we good karibuni sana}.

Hapa kariakoo unajipatia fremu kuanzia 85,000{Kigoli} juu ghorofani unalipia Kwa miezi sita au mwaka zipo za 100,000 zipo za 200,000 zipo za 250,000 zipo za 300,000 zipo za 350,000 zipo za 400,000 zipo za 500,000 zipo za 700,000 zipo za 800,000 mpaka 1,000,000 inategemea na mtaa pia na sehemu yani namaanisha Kama ni underground, juu au chini kawaida.

Kwa maana hiyo basi wale wote wanao hitaji fremu za kuuzia nguo, viatu, urembo, vyombo, huduma za kifedha kama M-PESA , TIGO PESA, AIRTEL MONEY, HALO PESA, CRDB wakala, NMB wakala, NBC wakala n.k, kuuza simu, kuuza underwear(boxer,chupi,soksi,taiti n.k), kuuza vinywaji kama soda, maji, juisi n.k, kuuza vifaa vya simu, kuuza vyakula, kuuza mifuko kwa jumla, kuuza t shirt, kuuza vifaa vya ujenzi, fremu za pharmacy, stoo za mizigo, kuuza mtumba ya aina yote, kuuza vifaa vya saloon, kuuza computer, kuuza nguo za michezo, stationary, moves studio & games n.k karibuni fremu zipo nyingi sana.

Pia Kwa wale wanao hitaji HOSTEL KARIAKOO zipo{Wanafunzi DIT, CBE, DMI, TIA, IFM, AMAZON n.k} karibuni sana.

"YOU WIN WE WIN".

images (24).jpeg
images (42).jpeg
 
Habari Wana JF.
Thread hii inahusu KARIAKOO
Naomba nianze Kwa kutoa shukurani zangu za dhati Kwa Wana JF wote mlio niamini na mkafanya kazi na Mimi shukurani Sana. { ingawa wengi hamtaki nijue ID zenu mnasema mmeona tangazo langu X zamani Twitter, Instagram, Facebook wengine mnasema ndugu zenu wamewatumia namba yangu ingawa me Sina mtando mwingine zaidi ya JF na WhatsApp but it's ok we good karibuni sana}.

Hapa kariakoo unajipatia fremu kuanzia 85,000{Kigoli} juu ghorofani unalipia Kwa miezi sita au mwaka zipo za 100,000 zipo za 200,000 zipo za 250,000 zipo za 300,000 zipo za 350,000 zipo za 400,000 zipo za 500,000 zipo za 700,000 zipo za 800,000 mpaka 1,000,000 inategemea na mtaa pia na sehemu yani namaanisha Kama ni underground, juu au chini kawaida.

Kwa maana hiyo basi wale wote wanao hitaji fremu za kuuzia nguo, viatu, urembo, vyombo, huduma za kifedha kama M-PESA , TIGO PESA, AIRTEL MONEY, HALO PESA, CRDB wakala, NMB wakala, NBC wakala n.k, kuuza simu, kuuza underwear(boxer,chupi,soksi,taiti n.k), kuuza vinywaji kama soda, maji, juisi n.k, kuuza vifaa vya simu, kuuza vyakula, kuuza mifuko kwa jumla, kuuza t shirt, kuuza vifaa vya ujenzi, fremu za pharmacy, stoo za mizigo, kuuza vifaa vya saloon, kuuza computer, kuuza nguo za michezo, stationary n.k karibuni fremu zipo nyingi sana.

"YOU WIN WE WIN".
Asante kwa muongozo
 
Ilikuwa 2023 baada ya kumaliza chuo nikachukua meza hapo agrey na mtaa huu wenye Raha Leo restaurant

Meza ilikuwa 200k, miezi sita, bado mtaji, aaah sikuwa na back up nzuri ndo maana
Hukukutana na watu sahihi Uncle njoo kariakoo nikupe mawazo kabla haujatia pesa kwenye eneo{Fremu au Meza} au nipigie nikupe maelekezo Kwa simu.
 
Kariakoo mitaa gani niibuke hata Leo naweza pata darasa tosha!
0758911751 Nipo Mtaa wa Congo hapa kituo Cha dalala Kama unaelekea mnazi mmoja, Njoo kuanzia kesho Leo Nina wateja Uncle kuanzia kesho sijapata bado order so wewe utakuwa wakwanza.
 
Back
Top Bottom